0770000000
info@epifania.or.tz
JUBILEI

Tumsifu yesu kristo

Baba askofu beatus urassa akiwa pamoja na askofu mstahili damian kyaruzi.

SHEREHE ZA JUBILEI

Tumsifu yesu kristo

Maaskofu wa majimbo mbalimbali wakiwapongeza wajubilei

KANISA KUU

Tumsifu yesu kristo

Mazingira ya nje ya kanisa

GOROTO

Tumsifu yesu kristo

Muonekano wa goroto

MAZINGIRA YA NJE YA KANISA

Tumsifu yesu kristo

Lango kuu la kuingia kanisani

MWEZI WA ROSARI

Tumsifu yesu kristo

Mama yetu maria mtakatifu utuombee!!!

SHEREHE YA WATAKATIFU WOTE

Tumsifu yesu kristo

Watakatifu wote wa mungu! mtuombeee!!

WATAKATIFU WOTE

Tumsifu yesu kristo

Dominika ya leo, katika parokia yetu tumeadhimisha sherehe ya watakatifu wote! ee mungu utujalie tuwake shauku ya kuwa watakatifu. amina

THREE MAGI NURSERY SCHOOL

Tumsifu yesu kristo

Karibuni sana katika shule yetu ya parokia "nursery", tuwalee watoto wetu kitaaluma na kimaadili

SHULE YA AWALI YA MAMAJUSI WATATU

Tumsifu yesu kristo

Watoto wetu wa "three magi nursery school" wakiwa katika picha ya pamoja na mwalimu wao (pembeni kushoto), na kulia ni padre peter twamba (mlezi wa watoto kiroho)

THREE MAGI NURSERY SCHOOL.

Tumsifu yesu kristo

Shule ya awali ya mamajusi watatu, ya parokia yetu. inayopatikana hapa kanisa kuu.

KARIBU "THREE MAGI NURSERY SCHOOL"

Tumsifu yesu kristo

Watoto wetu wakiwa darasani kuendelea kujifunza.

WALIMU WETU "THREE MAGI NURSERY SCHOOL"

Tumsifu yesu kristo

Mlete mwanao apate malezi bora ya kitaaluma na kimaadili. walimu wetu ni mahili wenye bidii ya kumlea na kumfundisha mwanao. karibu sana.

KARIBU "SHULE YA AWALI YA MAMAJUSI WATATU"

Tumsifu yesu kristo

Shule hii ya awali inamilikiwa na parokia yetu ya epiphania - kanisa kuu, inapokea watoto wote kwa ajili ya kuwaandaa vizuri kielimu na kimaadili. nyote mnakaribishwa. fika katika ofisi zetu za shule katika lango kuu la kuingia kanisani "cathedral" upande wa kushoto. nyote mnakaribishwa.

THREE MAGI NURSERY SCHOOL. (Shule ya awali ya Mamajusi Watatu)

Tumsifu yesu kristo

Kanisa kuu s.l.p 40 sumbawanga (education for future)

KANISA KATOLIKI

Tumsifu yesu kristo

Tusimame imara katika imani!!!

NITAKUSIFU EE MUNGU WANGU

Tumsifu yesu kristo

Wawata - jimbo katoliki sumbawanga

HERI YA SIKUKUU YA KRISMASI

Tumsifu yesu kristo

"bwana amezaliwa kwa ajili yetu"

EE YESU NAKUTUMAINIA

Tumsifu yesu kristo

Ee yesu utuhurumie!

BIKIRA MARIA MAMA WA MUNGU

Tumsifu yesu kristo

Mama wa mungu utuombee!!

karibu kwaresima

Tumsifu yesu kristo

Siku 40 za tafakari

Jumatano ya majivu

Tumsifu yesu kristo

Tutubu na kuimani injili

DOMINIKA YA MATAWI

Tumsifu yesu kristo

Tunawatakia dominika njema ya matawi

JUMAKUU

Tumsifu yesu kristo

Tutafakari; mateso, kifo na ufufuko wa bwana wetu yesu kristu.

PASAKA NJEMA

Tumsifu yesu kristo

Tunakutakia pasaka njema

BWANA AMEFUFUKA KWELI!!!!!!!!!

Tumsifu yesu kristo

Bwana amefufuka aleluya, aleluya!!!!!

KUPAA BWANA

Tumsifu yesu kristo

Dominika njema ya kupaa bwana

NJOO ROHO MTAKATIFU

Tumsifu yesu kristo

Novena ya roho mtakatifu

ROHO MTAKATIFU

Tumsifu yesu kristo

Roho mungu njoo!!!

PAPA LEO IV

Tumsifu yesu kristo

Picha ya baba mtakatifu.

MAFUNGO YA MAPADRE -JIMBO KATOLIKI SUMBAWANGA

Tumsifu yesu kristo

Picha ni matukio mbalimbali wakati wa adhimisho la misa takatifu ya kuhitimisha mafungo ya mapadre wa jimbo katoliki sumbawanga. misa takatifu imeadhimishwa katika kanisa la mtakatifu libori na padre modest katonto makamo wa askofu jimbo katoliki sumbawanga.

MAFUNGO YA MAPADRE -JIMBO KATOLIKI

Tumsifu yesu kristo

Hitimisho

Vigango

Orodha ya kanda zetu zote

Ona zaidi